Walevi wa Pombe, Ni mbinu zipi mnatumia kukwepa kufanya vitu vya aibu na hatari mnapolewa ?

Walevi wa Pombe, Ni mbinu zipi mnatumia kukwepa kufanya vitu vya aibu na hatari mnapolewa ?

NetMaster

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
1,454
Reaction score
4,925
-Kutukana Matusi ovyo

-Ngono zembe - kufumaniwa kirahisi, magonjwa, n.k.

-Kuendesha gari bila umakini - ajali

-Hasira za haraka - kutembezewa kipigo, kujeruhi ama kuua.

-haja kubwa na ndogo bila kwenda chooni.

-kuzima - wahuni wanaweza kukusajili kwenye upinde bila kujijua
 
Dah afadhali huu Uzi haunihusu maana mimi ni mnywaji na si mlevi.
 
Nagidaaaaa
Nikiona kichwa kinaanza kuzunguka, nakunywa maji ya baridiii
 
naskia siku hizi walevi wengi wanaopoteza network hovyo hovyo wanasajiliwa kwny upinde bila ya kujijua
 
naskia siku hizi walevi wengi wanaopoteza network hovyo hovyo wanasajiliwa kwny upinde bila ya kujijua
wahuni sio watu wazuri, wakiona mtu kazima wanampangia foleni, kuja kustuka hakuna marinda
 
Ni tabia ya mtu
Mi nikilewa ndio kabisa sitaki kuwa karibu na mtu sitaki fujo kabisa 🍻
 
Back
Top Bottom