ommytk
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 520
- 1,143
Wadau,
Aisee naona walevi wa siku hizi wamestaarabika kuliko wa zamani aisee sijui walevi wa zamani walikuwa wanatumia vilevi gani, yaani Siku kama ya leo mtaaani ni vurugu mpaka wazee wanapigana.
Wengine wameangusha magari. Siku hizi hakuna kabisa hayo, sijui pombe za zamani zilikuwa kali sana? Yaani mzee wenu akirudi home bila ngeo zamani ni bahati.