Unakunywa pombe halafu hela inakuuma Sana utalewa kweli?Hali imekua ngumu watu wanakunywa kistaarabu ..
Ndo hapo sasa mkuu!Unakunywa pombe halafu hela inakuuma Sana utalewa kweli?
Unaambiwa walevi sasa hivi wanalipa kabisa before wanywe mavitu zao ili kuepusha msala wa vuta-nkuvute na wahudumu baada ya kutumia vya bei ya juu kuliko pesa za kumfuko. JPM zidisha kibano kabisa mara mia mpaka bajeti iwe ya one bottle in 5 years, na yenyewe washindwe kulipia iwe by installment, hadi hii kitu inaitwa pombe ivurugayo mavichwa za watu irudi makwao ilikotokea kama Mr Korona.Hali imekua ngumu watu wanakunywa kistaarabu ..
Haha eti wanalipa kabla, kawabana pabaya sana mzee baba 😂😂 ..Unaambiwa walevi sasa hivi wanalipa kabisa before wanywe mavitu zao ili kuepusha msala wa vuta-nkuvute na wahudumu baada ya kutumia vya bei ya juu kuliko pesa za kumfuko. JPM zidisha kibano kabisa mara mia mpaka bajeti iwe ya one bottle in 5 years, na yenyewe washindwe kulipia iwe by installment, hadi hii kitu inaitwa pombe ivurugayo mavichwa za watu irudi makwao ilikotokea kama Mr Korona.
Hao ni wa huko kwenu mzee njoo huku ujione wazee wa alkasusu, kitoko, dawa ya tumbo n.k uone mitikasi ilivyo balaa akifika nyumban kwake salam ujue hajalew huyo, kesh tunamwongez dozi kubwa.Wadau,
Aisee naona walevi wa siku hizi wamestaarabika kuliko wa zamani aisee sijui walevi wa zamani walikuwa wanatumia vilevi gani, yaani Siku kama ya leo mtaaani ni vurugu mpaka wazee wanapigana.
Wengine wameangusha magari. Siku hizi hakuna kabisa hayo, sijui pombe za zamani zilikuwa kali sana? Yaani mzee wenu akirudi home bila ngeo zamani ni bahati.