Walevi wezangu wapenda vitonga njooni

Walevi wezangu wapenda vitonga njooni

40/40 ina nini ati? Nilipita pale siku ya new year, zile fujo sidhani kama nitakuja kupaweza.....mara watu wamevua mashati, mara unapigwa vikumbo ilimradi hakuna amani ya nafsi....

Sizani kama walevi wananielewa.......
 
walevi huwaga mna ushirikiano mkubwa sana kwenye vitu za kijinga .Nikiwemo mimi pia
 
Back
Top Bottom