Walezi au wazazi tuna kazi kuchunga mtoto wa kiume kuliko wa kike kutokana na tabia ya ushoga kukua kwa kasi

Walezi au wazazi tuna kazi kuchunga mtoto wa kiume kuliko wa kike kutokana na tabia ya ushoga kukua kwa kasi

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Dunia inaelekea kubaya tena kubaya sana na ukijumlisha utandawazi unaopelekea watoto wa kiume kuwa mashoga asilimia kubwa.

Yani sasa hivi ukiwa na mtoto wa kiume unakuwa naye makini kuliko mtoto wa kike maana kila kona sio salama.

Tufanyeje na kila sehemu wanaanza kuweka bendera zao na serikali imekaa kimya tu kuogopa hawa wafadhili.
 
Mtoto wa kike pia anahitaji uangalizi sawa na wa kiume, tena hao ndio wanapitia makubwa na wengine uwezo wa kujitetea hawana tofauti na wa kiume.
 
Malezi ya mjini ni mabovu sana, tupo kwenye jamii ambayo haijihusishi moja kwa moja ktk wajibu wa maadili kwa kila mtoto! Elimu ya ujinsia tunajifunzia mitandaoni ambapo kumeshamwagwa ushetani! Lishe imekuwa ya hovyo hatuli vya asili tunakula ili tupumue tu!

Hatua ya kwanza ni kubadili mwenendo wa jamii zaidi ktk kujitambua,mipaka ya uhuru wa mtu nakuelewa maana ya uanaume na uanamke.

Bila kujali itikadi za nje lazima tuwe na misimamo, sheria na utekelezaji makini.
 
Yaaani mtoto wangu simuachi peke yake na mwanaume never
Hata awe ndugu yangu
 
Back
Top Bottom