Malezi ya mjini ni mabovu sana, tupo kwenye jamii ambayo haijihusishi moja kwa moja ktk wajibu wa maadili kwa kila mtoto! Elimu ya ujinsia tunajifunzia mitandaoni ambapo kumeshamwagwa ushetani! Lishe imekuwa ya hovyo hatuli vya asili tunakula ili tupumue tu!
Hatua ya kwanza ni kubadili mwenendo wa jamii zaidi ktk kujitambua,mipaka ya uhuru wa mtu nakuelewa maana ya uanaume na uanamke.
Bila kujali itikadi za nje lazima tuwe na misimamo, sheria na utekelezaji makini.