Walezi wa Nasra wabadilishiwa mashitaka, sasa ni mauaji

Walezi wa Nasra wabadilishiwa mashitaka, sasa ni mauaji

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Posts
17,006
Reaction score
13,281
Haki inaelekea kutendeka kwa Marehemu mtoto Nasra (R.I.P)

Ni baada ya mahakama ya Morogoro kuwashtaki wale walezi wake kwa kosa la mauaji.

credit.Chanel ten.
 
Alifia mikononi wa walezi?? Ni kweli mtoto alitendewa vibaya lakinu hao wastakiwa walkitafuta wakili mzuri hawana kesi ya mauaji hata kidogo.
 
Alifia mikononi wa walezi?? Ni kweli mtoto alitendewa vibaya lakinu hao wastakiwa walkitafuta wakili mzuri hawana kesi ya mauaji hata kidogo.

Wewe ni mwanasheria? Nataka nikupe nondo zinazowatia hatiani wauwaji.
 
walisababisha
Lakini ikumbukwe kuwa mtoto huyo aliishi zaidi ya miaka minne na hakufa hata kama alikuwa na madhaifu lakini walivyo mchukua tu hata wiki hajamaliza amekufa je? Alitolewa kule akiwa anaumwa kiasi cha kumfanya afe?nikisema uzembe wa madoctor kushindwa kumuhudumia kulingana na mazingira aliyo kuwa nayonitakuwa nimekosea? Ni mawazo tu.
 
Kwamfano wewe ndiye mwanasheria....(wakili)
Je,unaweza ukatumia taaluma yako kuutetea unyama huu.?
Uanasheria sio taaluma ya kupingana na sheria,tumia taaluma yako katika kutetea ukweli.

Mungu awe nawe.
 
Mkuu Godian, mimi pia sitetei unyama waliofanya walezi wa Nasra kwa miaka takribani mitatu lakininukweli utabaki palepale hawana mashtaka ya kujibu kwa kosa la Mauaji labda mateso waliyomsababishia
 
Kwamfano wewe ndiye mwanasheria....(wakili)
Je,unaweza ukatumia taaluma yako kuutetea unyama huu.?
Uanasheria sio taaluma ya kupingana na sheria,tumia taaluma yako katika kutetea ukweli.

Mungu awe nawe.
Sipingani na wewe na hakuna anaye furahia unyama huo,lakini kwa kigezo hicho cha kumtendea unyama isiwe sababu ya kuwabambikiza kesi ya mauaji sababu hadi kufika miaka yotye hiyo minne hakufa halafu baada y a kuchukuliwa ndio afe shida inakuja je! Alifia mikononi wa watuhumiwa?na je hadi siku wanaenda kumtoa kwenye box alikuwa seroius kiasi cha kufanya akimbizwe hospitalyi na hapo hospitali alikuwa anatibiwa ugonjwa gani? Na je huo ugonjwa risk yake ni kupelekea mauti?na je huo ugonjwa ulianz lini tangu akiwa ndani ya box au baada ya kutolewa? Ni kweli mtoto alitolewa akiwa na mapungufu je kwa mapungufu hayo aliyo ishi nayo miaka minne asinge weza kuendelea kuishi akiwa ndani ya box na akawa hajafa hadi sasa?ni kweli sipendezwi na aliyo fanyiwa mtoto nasra na inatia uchungu lakini tuangalie pande zote je uzembe wa madactari kushindwa kumtibu mtoto hasa kwa kuzingatia mazingira aliyo toka haiwezi kuwa sababu ya kifo chake? Kwamba walimbadilishia mazzingira ghafla sana? Ni sawa na teja huwezi kumchukua teja mkongwe halafu ukasema unataka kumuachisha uteja gafla kwa kumnyima unga ,hakika lazima afe. Kwa hili nafikiri hata walio mchukua kwa lengo la kumtibu pia nao wana hoja ya kujibu.
 
Postmortem inasemaje? Hicho ndo cha muhimu. Its doesnt matter alikufa baada ya kutoka kwenye mateso. What matters ni chanzo cha kifo. Je, kifo chake kilisababisha na mateso aliyopata kwa miaka minne?
 
Back
Top Bottom