Wali bila maharage ni uharibifu wa mchele

Wali ndondo, hasa kiwe kipolo na chai ya rangi,
Yaan ni humu tyuuh 😋😋😋😋
 
Nikiyaona tu maharage nahisi kutapika muda huo huo.

Ndiyo mboga namba moja ambayo sijawahi kuielewa tangu utotoni.
 
Kwahiyo unaishi nchi gani ambayo haina maharage?
Kiufupi najitahidi sana hata nisiyaone tu maana napata kichefuchefu kikali mno.

Siwezi kula mkuu sijui nina changamoto gani ipo hivyo tu.
 
Ni kama mimi nikiona mayai
Yah, si unaona sasa mkuu tunavyotofautiana.

Wakati mimi mayai ndiyo chakula nikipendacho na siwezi kukikosa kila siku kiwe katika namna tofauti tofauti as long as mayai yasikosekane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…