Wali bila maharage ni uharibifu wa mchele

Hiki chakula hakiishi hamu. Ukila wali nyama siku mbili hamu inaisha lakini siyo wali maharage. Mimi napendelea hasa yawe yale makubwa, mekundu na mboga ya majani kwa pembeni.
 
Ubwabwa wa Chaumma bila maharage haunogi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…