'Wali' kwa lugha ya Kiingereza

Ushanichanganya. pilau, biriyani nk ni wali????????
mi najua wali unasimama kama wali, naomba niweke sawa.
ofcoz ni wali, hata vitumbua na vibibi na mkate wa kumimina na chauro zote ni wali family..!!

Okay!! ona sasa let say "nyama" (meat) inapo kwenda kwenye mapishi hutambulika as Meatball, kabab, Mishakaki, nyamachoma, roasti,cooked steak,steak grill,buram, na majina mengine. .


Na mfano unga wangano hupelekea kupata Mkate,cake, macarona,maandazi,kaukau, Pastries,nk !!
 

Asante nimekuelewa mie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…