Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba msaada kwa kingereza wali unaitwaje?.
Unweza kuita " Pilau, Biriyani, kably or chinese rice "
ofcoz ni wali, hata vitumbua na vibibi na mkate wa kumimina na chauro zote ni wali family..!!Ushanichanganya. pilau, biriyani nk ni wali????????
mi najua wali unasimama kama wali, naomba niweke sawa.
ofcoz ni wali, hata vitumbua na vibibi na mkate wa kumimina na chauro zote ni wali family..!!
Okay!! ona sasa let say "nyama" (meat) inapo kwenda kwenye mapishi hutambulika as Meatball, kabab, Mishakaki, nyamachoma, roasti,cooked steak,steak grill,buram, na majina mengine..
Na mfano unga wangano hupelekea kupata Mkate,cake, macarona,maandazi,kaukau, Pastries,nk !!
No mention!Asante nimekuelewa mie.
No mention!
Kwa international cusine (food) ingia google!