Wali spinachi, karoti na mboga mchanganyiko

Wali spinachi, karoti na mboga mchanganyiko

Ndio nije kula

Hahahaha si uchukue recipe upike mwenyeo jamani? Uje kula huku tena unihangaishe mwenzio weee au utakua tukimaliza kula waosha vyombo? Wamsaidia dada ako
 
Last edited by a moderator:
mi mbona huniitagi au ndo unaogopa nitamzidi bintio kumkarangizia utafiti lol nitajaribu kuipika siku moja hii

Hahahaha ntakua nakuita usijali my dear... jaribu asije wahi kupika mwanangu ukaja lia bureee
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom