Hahahaha umenchekesha uje kula?
Ndio nije kula
Thanx much
Farkhina hii misosi umesomea?
waweza kulia pamoja na kitoweo upendacho ikiwa samaki kuku ama nyama......
BAK mshana jr amu Chocs Mrs Kharusy The Boss Ablessed Zinduna peri life is Short faiza foxy MziziMkavu Bulldog mshana jr Angel Nylon Kim nana atoto xiexie Mentor kiwatengu Kozo Okamoto Jerrymsigwa na wengine
Hahahaha ntakua nakuita usijali my dear... jaribu asije wahi kupika mwanangu ukaja lia bureee
hahaha na mtoto wa nyoka ni nyoka aiseee kuanzia leo itabidi niwe mwanafunzi wako mtiifu