kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,154
- 17,491
Tangu Mh. Mpina alipowapima samaki waliopikwa kwa rula kwenye sahani ya mlaji ndipo nikagundua kuwa Mpina sio wali wa kushiba. Tangu siku ile kila anachosema ninakihoji. Eti sasa anataka kuwa Rais wetu wote. Hebu tuweni serious!!!
Ndio maana vyama vya upinzani vina safari ndefu bado. Hawajifunzi kutokana na makosa ya wengine kama Lyatonga, DK. Slaa, Lowassa, na Membe kutoka CCM kuruhusiwa kugombea urais vyama vya upinzani; na hatimaye wakarudi tena CCM.
Mpina huyu pamoja na madhaifu yake mengi, lakini ameenda CCM kwa kukatwa na wenzake kama walivyokatwa Lyatonga, Slaa, Lowassa, Membe. Hata hivyo pamoja na kwenda ACT bado ana mambo mengi sana ambayo yanayohitaji kulindwa na mfumo wa CCM.