Buruguja Member Joined Jul 29, 2019 Posts 46 Reaction score 55 Dec 4, 2020 #21 Haya Majina Mara nyingi unakuta ni ya kilugha, na yana maana kulingana na mila za eneo husika, Sasa unavyoyaleta kwenye kiswahili ndo unapata tafsiri kama unayoifikilia wewe japo sidhani kama yanamaanisha unachokifikilia. EINSTEIN112 said: Yaani wewe kama Mzazi unaanzaje kumwita mwanao majina haya:- Musiba Masumbuko Pombe Shida Mateso Mutafungwa Kaburiwazi Click to expand...
Haya Majina Mara nyingi unakuta ni ya kilugha, na yana maana kulingana na mila za eneo husika, Sasa unavyoyaleta kwenye kiswahili ndo unapata tafsiri kama unayoifikilia wewe japo sidhani kama yanamaanisha unachokifikilia. EINSTEIN112 said: Yaani wewe kama Mzazi unaanzaje kumwita mwanao majina haya:- Musiba Masumbuko Pombe Shida Mateso Mutafungwa Kaburiwazi Click to expand...
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,282 Reaction score 117,244 Dec 4, 2020 #22 Pombe probably wazazi kama walikuwa Wana deal za kuuza pombe?? Nawajua watu walikuwa Wana mashine ya kusaga wakamwita mtoto wao sembe
Pombe probably wazazi kama walikuwa Wana deal za kuuza pombe?? Nawajua watu walikuwa Wana mashine ya kusaga wakamwita mtoto wao sembe
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Dec 6, 2020 #23 Majina ya kimila... Cc: mahondaw
Mangungo II JF-Expert Member Joined Jul 6, 2012 Posts 18,133 Reaction score 26,766 Dec 6, 2020 #24 Abby The Rider said: Usisahau pia kuna Pesambili Kazibure Vituko Simbachawene Mtakahela Click to expand... Mshahara
Abby The Rider said: Usisahau pia kuna Pesambili Kazibure Vituko Simbachawene Mtakahela Click to expand... Mshahara
EINSTEIN112 JF-Expert Member Joined Oct 26, 2018 Posts 21,711 Reaction score 35,644 Dec 7, 2020 Thread starter #25 Afande 255 said: Akatubenga Mwakaliyonga Mwakatubwire Mwakahuunoma Mwakasebiya Mwakauoounaisha Mwakalebelea Mwamposa Mwaisa Mwakabenga Click to expand... Mwakaleli
Afande 255 said: Akatubenga Mwakaliyonga Mwakatubwire Mwakahuunoma Mwakasebiya Mwakauoounaisha Mwakalebelea Mwamposa Mwaisa Mwakabenga Click to expand... Mwakaleli
Mbwa dume JF-Expert Member Joined Jan 15, 2014 Posts 5,934 Reaction score 10,206 Dec 7, 2020 #26 Gwajima Bashite Mambosasa