Walianzaje kupewa haya majina

Walianzaje kupewa haya majina

Haya Majina Mara nyingi unakuta ni ya kilugha, na yana maana kulingana na mila za eneo husika,
Sasa unavyoyaleta kwenye kiswahili ndo unapata tafsiri kama unayoifikilia wewe japo sidhani kama yanamaanisha unachokifikilia.
Yaani wewe kama Mzazi unaanzaje kumwita mwanao majina haya:-
  1. Musiba
  2. Masumbuko
  3. Pombe
  4. Shida
  5. Mateso
  6. Mutafungwa
  7. Kaburiwazi
 
Pombe probably wazazi kama walikuwa Wana deal za kuuza pombe??

Nawajua watu walikuwa Wana mashine ya kusaga wakamwita mtoto wao sembe
 
Back
Top Bottom