Walichoandika Asec Mimosas katika ukurasa wa Instagam juu ya USNM

Joined
Jun 3, 2014
Posts
63
Reaction score
68
Asec memosa wanaiombea USNM washinde, nmeona kwenye ukurasa wao:

If these people win on sunday, then 100% to quarter final, all the best, we fight for Ivory Coast

Na wameweka logo ya wapinzani wetu.

Nanmini Simba hawatakubali kufungwa nyumbani kwenye uwanja waliouzoea, WATANZANIA TUIOMBEE SIMBA ISHINDE ILI ASEC MEMOSA WAONE AIBU, kwa mahesabu ni kua ENDAPO USNM IKASHINDA ITAKUA NA POINT 8, SIMBA 7, ASEC AKIFUNGWA ATABAKI NA 9 MPINZANI WAKE 10. KWA HIYO SIMBA NA MWENZAKE ASEC OUT, IKITOKEA SIMBA AKASHINDA ATAKUA AMESHAPITA MOJA KWA MOJA.
 
ASEC out vipi wakati ana point tisa?
 
ASEC out vipi wakati ana point tisa?
Ni maneno ya tambo tu yaani wameandika kana kwamba wao wana uhakika wa kumfunga Berkane hivyo kazi kwao USGN washinde tu ili watinge robo. Ni maneno ya tambo ila kimpira hata yeye mwenyewe Asec anaweza asifuzu
 
Kwahiyo Wao hao Asec Mimosas wameshaongea na Mwenyezi Mungu na kawahakikishia kuwa Wameshashinda mechi yao Ngumu dhidi ya RS Berkane?

Nijuacho Simba na Berkane wanapita!!!
Asec haitajiki kushinda kama simba atafungwa na ndio maana wanawaombeo USGN.
 
Kwahiyo Wao hao Asec Mimosas wameshaongea na Mwenyezi Mungu na kawahakikishia kuwa Wameshashinda mechi yao Ngumu dhidi ya RS Berkane?

Nijuacho Simba na Berkane wanapita!!!
Kwani mmeshaua watu wangapi Hadi mshinde au jini lenu limekubaliana na muda wa mchezo wa saa nne usiku
 
Huyo Asec mwenyewe kwa mkapa alikufa,halafu anataka mwenzake ndo ashinde!!

Yale yale ya Mungu, alishindwa kumuua shetani halafu anatutaka sisi wanadamu tumshinde shetani huku duniani😂
 
Huyo Asec mwenyewe kwa mkapa alikufa,halafu anataka mwenzake ndo ashinde!!

Yale yale ya Mungu, alishindwa kumuua shetani halafu anatutaka sisi wanadamu tumshinde shetani huku duniani[emoji23]
Haha hah we jamaa umetisha sn
 
Huyo Asec mwenyewe kwa mkapa alikufa,halafu anataka mwenzake ndo ashinde!!

Yale yale ya Mungu, alishindwa kumuua shetani halafu anatutaka sisi wanadamu tumshinde shetani huku duniani[emoji23]
Hii ya Mungu kushindwa unawatafuta ubaya walevi wa dini.
 
Huyo Asec mwenyewe kwa mkapa alikufa,halafu anataka mwenzake ndo ashinde!!

Yale yale ya Mungu, alishindwa kumuua shetani halafu anatutaka sisi wanadamu tumshinde shetani huku duniani[emoji23]
Kufuru!!!!
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Back
Top Bottom