Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 4,748
- 7,061
Naona walijua kuwa watafungwa, ndiyo maana walitaka matokeo ya kufungwa Simba, yawabebe wao!Asec memosa wanaiombea USNM washinde, nmeona kwenye ukurasa wao:
If these people win on sunday, then 100% to quarter final, all the best, we fight for Ivory Coast
Na wameweka logo ya wapinzani wetu.
Nanmini Simba hawatakubali kufungwa nyumbani kwenye uwanja waliouzoea, WATANZANIA TUIOMBEE SIMBA ISHINDE ILI ASEC MEMOSA WAONE AIBU, kwa mahesabu ni kua ENDAPO USNM IKASHINDA ITAKUA NA POINT 8, SIMBA 7, ASEC AKIFUNGWA ATABAKI NA 9 MPINZANI WAKE 10. KWA HIYO SIMBA NA MWENZAKE ASEC OUT, IKITOKEA SIMBA AKASHINDA ATAKUA AMESHAPITA MOJA KWA MOJA.
Uungwana, pamoja na kuiombea USGN ishinde, nao wangejitahidi wawafunge Berkane ili wawabebe hao USGN yao!