MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Kwakweli huu utaratibu wa play off za Ligi kuu unawaumiza sana vilabu vya Ligi daraja la kwanza, Biashara utd wamepambana sana play off ya kwanza dhidi ya Mbeya Kwanza wakafanikiwa kuvuka, Kwa upande wa pili Tabora utd tayari ilishachapwa na JKT ndani nje, Sasa kwanini Biashara ameshapambana amevuka lakini bado anawekewa kikwazo kingine kwa aliyestahili kushuka baada ya kuchapwa na JKT?
Pia soma: FT: Tabora United 2-0 Biashara United mchezo wa mtoano mkondo wa2( Agg, 2-1) Tabora wasalia ligi kuu kwa msimu ujao