Walichofanyiwa Biashara UTD sio fair kabisa. Bodi ya Ligi iangalie utaratibu wa Play-Off

Walichofanyiwa Biashara UTD sio fair kabisa. Bodi ya Ligi iangalie utaratibu wa Play-Off

Ni kitu Cha ajabu na hovyoo Sana.... Hivi unawezaje kukutanisha timu zenye madaraja mawili tofauti kugombea nafasi ya kupanda ligi kuu!!, utaratibu ulipaswa kuwa timu za championship zikutane zenyewe atakaeshinda apande moja kwa moja, na timu za ligi kuu zinazogombea nafasi ya kubaki ligi kuu zimalizane zenyewe... Huu ndio utaratibu sahihi.
Una hoja leo usikilizwe...
 
haya mambo ya playoff kwenye kupanda daraja na kushukaa ni ya kipuuzi sana, tuache kuiga kila tunacokiona mbele yetu
 
Back
Top Bottom