MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Mbwa hao,walitufanyia hivyo kwaoBiashara united wamefanyiwa figisu sana kwanza kabisa walipofika huko wamekutana na kipigo kikali ndani ya gari lao. Inahuzunisha sana
Walifanyaje pale Mara?Pale mara walifanya jambo la ajabu sana mpaka niliogopa kua hawa wataenda kweli tabora
Mjitahidi kufuatilia michezo duniani sio kusukumwa na ushabiki!Kwakweli huu utaratibu wa play off za Ligi kuu unawaumiza sana vilabu vya Ligi daraja la kwanza, Biashara utd wamepambana sana play off ya kwanza dhidi ya Mbeya Kwanza wakafanikiwa kuvuka, Kwa upande wa pili Tabora utd tayari ilishachapwa na JKT ndani nje, Sasa kwanini Biashara ameshapambana amevuka lakini bado anawekewa kikwazo kingine kwa aliyestahili kushuka baada ya kuchapwa na JKT?
Pia soma: FT: Tabora United 2-0 Biashara United mchezo wa mtoano mkondo wa2( Agg, 2-1) Tabora wasalia ligi kuu kwa msimu ujao
Kwanini imekuwa hivyo !?Kwakweli huu utaratibu wa play off za Ligi kuu unawaumiza sana vilabu vya Ligi daraja la kwanza, Biashara utd wamepambana sana play off ya kwanza dhidi ya Mbeya Kwanza wakafanikiwa kuvuka, Kwa upande wa pili Tabora utd tayari ilishachapwa na JKT ndani nje, Sasa kwanini Biashara ameshapambana amevuka lakini bado anawekewa kikwazo kingine kwa aliyestahili kushuka baada ya kuchapwa na JKT?
Pia soma: FT: Tabora United 2-0 Biashara United mchezo wa mtoano mkondo wa2( Agg, 2-1) Tabora wasalia ligi kuu kwa msimu ujao
Kwahiyo shemeji zangu mkaamua kufanya malipizo walipokuja mbika manyema?ππππMbwa hao,walitufanyia hivyo kwao
Waliwafanyia vulugu sana hawa tabora wakapigwa red, biashara wakapewa penat fake, goli la penat japo lilikua la wazi ila lilileta utata. Kiukweli walifeli sanaWalifanyaje pale Mara?
Binafsi naona huu utaratibu ni mzuri tu. Maana unaleta ushindani. Biashara aliifunga Mbeya Kwanza, na Tabora alifungwa na JKT! Mechi ya kwanza Biashara alishinda nyumbani, na hivyo alihitaji sare au goli moja tu kwenye mechi ya jana! Bahati mbaya bahati haikuwa upande wake.Kwakweli huu utaratibu wa play off za Ligi kuu unawaumiza sana vilabu vya Ligi daraja la kwanza, Biashara utd wamepambana sana play off ya kwanza dhidi ya Mbeya Kwanza wakafanikiwa kuvuka, Kwa upande wa pili Tabora utd tayari ilishachapwa na JKT ndani nje, Sasa kwanini Biashara ameshapambana amevuka lakini bado anawekewa kikwazo kingine kwa aliyestahili kushuka baada ya kuchapwa na JKT?
Pia soma: FT: Tabora United 2-0 Biashara United mchezo wa mtoano mkondo wa2( Agg, 2-1) Tabora wasalia ligi kuu kwa msimu ujao
Eeh,akutendae mtendeKwahiyo shemeji zangu mkaamua kufanya malipizo walipokuja mbika manyema?ππππ
Kule Mara kuna watu kama sita viongozi wa Tabora walikula mbata / vibao vya kutosha hadi wakapata kizunguzungu ..Biashara united wamefanyiwa figisu sana kwanza kabisa walipofika huko wamekutana na kipigo kikali ndani ya gari lao. Inahuzunisha sana
Tabora aka Mboka utaiweza kwa uhuni, wale ndo zao toka enzi.Kule Mara kuna watu kama sita viongozi wa Tabora walikula mbata / vibao vya kutosha hadi wakapata kizunguzungu ..
Hili swala hawakuripoti Tabora wakapiga kimya ...
Hili tukio ni la kulipiza kisasi