Ni kitu Cha ajabu na hovyoo Sana.... Hivi unawezaje kukutanisha timu zenye madaraja mawili tofauti kugombea nafasi ya kupanda ligi kuu!!, utaratibu ulipaswa kuwa timu za championship zikutane zenyewe atakaeshinda apande moja kwa moja, na timu za ligi kuu zinazogombea nafasi ya kubaki ligi kuu zimalizane zenyewe... Huu ndio utaratibu sahihi.