GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,651
- 14,337
Siku moja nlipokuwa nazungumza na mdau mmoja wa michezo kuhusiana na utajiri na pesa inayowekezwa azam nlimwambia hali hii haitadumu sana. Akaniuliza kwa nini. Nlimweleza azam zile pesa zinazowekezwa kwenye team hazirud hata nusu. Zinapotea. Hakuna mtu mwenye akili atawekeza pesa ziwe zinapotea tu.hakunielewa.
Kwa miaka mingi sana kumekuwa na madai ya hawa wafadhiri wa simba na yanga kuzitumia team hizi kwa manufaa yao. Inasemekana ni manufaa ya kisiasa na kibiashara. Ktika biashara humo hadi madawa ya kulevya inasemekana hupitishwa kupitia team hizi zinapokuwa zinasafiri kimataifa au kwenda kupiga kambi.
Azam hawahitaj biashara hiyo ya madawa ya kulevya au haijawah walipa sijui. But pia haihitaj mtaji wa kisiasa. Team imekuwa kama jini linalonyonya damu halirudishi.na ndo maana imeamua kuja na sera ya kubana matumizi maana hamna sababu ya kutumia pesa nying kwa team ambayo hairudi.si kama team za ulaya na marekani.
Aliye na sikio asikie na aliye na ufaham alifaham neno hili.