Walichokifanya Azam nliwah kukitabiri. Si kama Simba naYanga zinavyotumika

GuDume

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2015
Posts
6,651
Reaction score
14,337
Siku moja nlipokuwa nazungumza na mdau mmoja wa michezo kuhusiana na utajiri na pesa inayowekezwa azam nlimwambia hali hii haitadumu sana. Akaniuliza kwa nini. Nlimweleza azam zile pesa zinazowekezwa kwenye team hazirud hata nusu. Zinapotea. Hakuna mtu mwenye akili atawekeza pesa ziwe zinapotea tu.hakunielewa.

Kwa miaka mingi sana kumekuwa na madai ya hawa wafadhiri wa simba na yanga kuzitumia team hizi kwa manufaa yao. Inasemekana ni manufaa ya kisiasa na kibiashara. Ktika biashara humo hadi madawa ya kulevya inasemekana hupitishwa kupitia team hizi zinapokuwa zinasafiri kimataifa au kwenda kupiga kambi.

Azam hawahitaj biashara hiyo ya madawa ya kulevya au haijawah walipa sijui. But pia haihitaj mtaji wa kisiasa. Team imekuwa kama jini linalonyonya damu halirudishi.na ndo maana imeamua kuja na sera ya kubana matumizi maana hamna sababu ya kutumia pesa nying kwa team ambayo hairudi.si kama team za ulaya na marekani.

Aliye na sikio asikie na aliye na ufaham alifaham neno hili.
 
Kwani umeongea neno gumu kihivyo?
Eti mpaka mwenye sikio au ufahamu!!!!!

Mmmeambukizwa kupenda kiki!!!
 
Sikulaumu inawezekana kwa uelewa wako mkuuuubwa kabisa ukawa umeona hii ni kiki. Ila kwa uelewa wa mtoto wangu yupo darasa la pili anaona hili ni jambo kama jambo jingine lenye werevu. Ugumu wa neno hili huwezi ufaham ikiwa uelewa wako ume base kwenye kick sijui kiki. Fumbuka uangalie mbali zaidi

Usiwaaminishe watu kuwa umeongea neno sijui gumu, sijui unabii, sijui nini!!!
Ni la kawaida sana halihitaji kukomaza mishipa ya shingo kama unapambana tusiibiwe makinikia
 
Waangalie wasije wakapotea kama kajumuro na Moro united! Na wao walikuja na mkwara wa pesa wakapotea! Na msimu ujao naiona azam itakayovurunda zaidi!
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Hayo ndiyo madhara ya kuwa na timu yenye mamluki kutoka simba na yanga. Mpira bongo hauwezi kukua kwa utapeli wa timu hizi za siasa.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Siku moja nlipokuwa nazungumza na mdau mmoja wa michezo kuhusiana na utajiri na pesa inayowekezwa azam nlimwambia hali hii haitadumu sana. Akaniuliza kwa nini. Nlimweleza azam zile pesa zinazowekezwa kwenye team hazirud hata nusu. Zinapotea. Hakuna mtu mwenye akili atawekeza pesa ziwe zinapotea tu.hakunielewa.

Kwa miaka mingi sana kumekuwa na madai ya hawa wafadhiri wa simba na yanga kuzitumia team hizi kwa manufaa yao. Inasemekana ni manufaa ya kisiasa na kibiashara. Ktika biashara humo hadi madawa ya kulevya inasemekana hupitishwa kupitia team hizi zinapokuwa zinasafiri kimataifa au kwenda kupiga kambi.

Azam hawahitaj biashara hiyo ya madawa ya kulevya au haijawah walipa sijui. But pia haihitaj mtaji wa kisiasa. Team imekuwa kama jini linalonyonya damu halirudishi.na ndo maana imeamua kuja na sera ya kubana matumizi maana hamna sababu ya kutumia pesa nying kwa team ambayo hairudi.si kama team za ulaya na marekani.

Aliye na sikio asikie na aliye na ufaham alifaham neno hili.
Ndipo sasa watu waelewe kwa nini MO hawezi kamwe kuanzisha timu tofauti na Simba
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Azam fc haina mfadhili inajifadhili yenyewe. Nmb ipo pale kwa kuwa Azam ana mzunguko mkubwa pale wa pesa. Kwenye matangazo ya Tv wanafadhili timu zote na Tv ni ya kwao. Wanagharama nyingi wakati malengo yalikuwa Caf championship wamejaribu hadi sasa hawajafanya vizuri. Ubingwa mmoja wa ligi kuu na mapinduzi cup mara kadhaa na ambayo mshindi anaambulia sh milioni kumi tu. Ubingwa mmoja afrika mashariki ambayo kwa sasa hayana mvuto tena. Gharama zao nyingi mno tatizo wanaajiri viongozi wasio na elimu tosha na ex.. simba na yanga. Bado wana changa moto kubwa. Illa wameleta mabadiliko kiasi fulani kisoka nchini.
 
Back
Top Bottom