Walichokifanya Mwananchi kuweka picha ya Jaji ni sawa au ni makosa?

Walichokifanya Mwananchi kuweka picha ya Jaji ni sawa au ni makosa?

Kwa hiyo wewe hoja yako hapo ni kwamba unajua hakuna utaratibu unaozuia majaji kuwekwa picha zao kwenye gazeti au unajua upo ila unaona si vyema kuwa na utaratibu kama huo kwa kuwa nao ni binadamu kama wengine? Tuanzie hapo
Chief hebu fanya hima uweke hicho kifungu kinachohusu huo utaratibu ili tuendelee na huu mjadala.
 
Majaji wote ni binadamu lakini so kila binadamu ni jaji hivyo tambua kila kazi ina utaratibu wake
Watanzania tu watu wa ajabu sana. Mtu huyohuyo anataka Sheria itumike na wakati huohuo maswala mengine anataka isifuatwe halafu atumie utashi wake. Ni ajabu Sana. Hata hiyo katiba ambayo tunaililia itakuwa Haina maana Kama kufikiri kwa watu hakutavadilika.
 
Back
Top Bottom