Kwa hiyo wewe hoja yako hapo ni kwamba unajua hakuna utaratibu unaozuia majaji kuwekwa picha zao kwenye gazeti au unajua upo ila unaona si vyema kuwa na utaratibu kama huo kwa kuwa nao ni binadamu kama wengine? Tuanzie hapo
Watanzania tu watu wa ajabu sana. Mtu huyohuyo anataka Sheria itumike na wakati huohuo maswala mengine anataka isifuatwe halafu atumie utashi wake. Ni ajabu Sana. Hata hiyo katiba ambayo tunaililia itakuwa Haina maana Kama kufikiri kwa watu hakutavadilika.