Walichonifanyia Loan board duh!

ni kweli yapo chuoni na wengine tumeshasaini

siyo kweli unadanganya umma, kiukweli kwa continuing walioomba mkopo matokeo yanatoka novemba kuanzia tareh 15 na kuendelea! Kwa sababu yanashughulikiwa baada ya hawa wengine,hayo unayosema ni yale wale continuing waliyokuwa wanapata mkopo
 
Mbona majina ya continuous hayajatoka kabisa so wewe hizo taarifa za kukosa umezipata wap?maaana mpaka now watu wa continuous bado hawajashughulikiwa kabisa

unauhakika ???? st john ukienda kwenye web yao wameyaweka from 1st year to 4th year
 
hahaha poleee ukiona hivyo ujue you are not secured..................................

tatizo unabisha kitu usichokielewa ni hiv huyo jamaa ni continuing na alikuwa hana mkopo so ameapply mwaka huu! matokeo hayajatoka bado mpaka novemba kama unabisha endelea kubisha ila uhalisia ndo huo!
 
yeye ni chuo gani???
 
We hujui miaka mitatu baada ya kumalza form six haurusiwi tena kuomba mkopo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…