Mstaarabu wa ukwee
JF-Expert Member
- Aug 9, 2013
- 209
- 137
Siamini kama kwa mara nyingine nimekosa mkopo,kwani wakati nipo first year niliomba wakaninyima,nika appeal wakaninyima,nimeomba tena now holaaa,daah.
Sifa ninazo ila kila nikiomba wananambia budget haitoshii.
Wanacho nshangaza ni kitu kimoja kwa nini watoe chance za kuomba kwa wengi halafu nusu ya waombaji wote wakose??!!??
Nimegundua kuwa haka ni kamradi ka serikali kwani nimepiga hesabu wote tulio kosa mkopo
28,000*30,000=840,000,000 sasa hapo si mikopo ya chuo kimoja hiyo??!?!!
HAWAKO FAIR...wanachotakiwa watengeneze vigezo ambavyo havita fanya wengi waombe mkopo,mfano:kama ulisoma private o-level au advance,usijisumbue kuomba kwa zile non-priority..
KIUJUMLA HAKA KAMCHEZO NI KAKITEGA UCHUMI CHA KASERIKALI