Walidai taifa stars haitapata matokeo mazuri

Walidai taifa stars haitapata matokeo mazuri

wakimataifa.

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
1,625
Reaction score
558
Kuna Kama mwezi na kitu zilizopita Kuna watu walisema wanataka taifa stars isiwe na maendeleo wanadai mpaka Rais wa tff ajiudhuru sababu walisema wanaonewa Sana na anajifanya kiburi Sana
 
Akili za manara hzo ambazo anaamini mafanikio ya yanga msimu uliopita ana mchango mkubwa na kufanya vibaya kwa simba na taifa stars ni kwasababu yeye kaacha kuzi support sasa kwa akili kama hzo unadhani yule mtu anayependa sifa si anajiona yeye ni big deal.
 
Yule Kolo FC Rais wa mpira Mr Karai hana upepo na Taifa Stars ni kufungwa tu. angewapisha wengine
 
Nasikia posho kwa wachezaji hakuna chakula hakiridhishi
 
bababilalisports~p~CiDWHi4K9kw~1.jpg
 
Back
Top Bottom