Mwanaccm mwenye akili kama kikwete na Mimi pia anajua uhai wa upinzani na upinzani active ndio uhai wa urais na Chama chetu!!!
Upinzani ukiwa hai wanaccm tunakua wamoja zaidi ili kupambana nao,upinzani usipokuwepo itabidi wanaccm wenzetu wajigawe wawe wapinzani wa madaraka ndani ya chama hapo ndipo mtafutano na mauaji Plus figisu zinaua wanachama tawala!!
Ndicho kinachoenda kutokea hapa team nchimbi vs team Samia Hala Kuna team wazalendo wa Tanzania wanna wa zoom kwa mbali,matokeo yake DAMU DAMU DAMU DAMU DAMU.........
Kazi na utu,tusonge mbele bandugu!!!
kimewaumaee?šKimeumana SM!
Simai,simai huyu Sasa ndio kakinukisha!kimewaumaee?š
Nimejaribu kuvuta hii picha ngoja nicheke kwanza.Naona unajitekenya na kujichekesha Mwenyewe
ok šSimai,simai huyu Sasa ndio kakinukisha!
Sio kwamba wanaset mambo ili mumuone nchimbi nae yupo na wananchi ili 2030 akishinda kwa asilimia 98 msiandamane.?
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sanaWameshindwa kuimaliza CHADEMA.. CDM Imeibuka na kuwa
Chama bora zaidi
Chenye nguvu zaidi
Chenye ushawishi zaidi
Chenye kupendwa zaidi
Wao wameguekana sasa.. Wanafitiana uwani na kuhitilafiana wazi wazi kabisa!
UTAWALA DHALIMU UMEFITINIKAš
Hii hesabu haina jawabu sahihiSio kwamba wanaset mambo ili mumuone nchimbi nae yupo na wananchi ili 2030 akishinda kwa asilimia 98 msiandamane.?
Huu upepo umeingia jikoni sasaHaka kaupepo katatuonyesha zilipo nyeti za kuku kaendelee kupuliza tu.
Inafikirisha sana. Lakini naamini "malaika " ni mweupe na "**tani " ni mweusi.Wameshindwa kuimaliza CHADEMA.. CDM Imeibuka na kuwa
Chama bora zaidi
Chenye nguvu zaidi
Chenye ushawishi zaidi
Chenye kupendwa zaidi
Wao wameguekana sasa.. Wanafitiana uwani na kuhitilafiana wazi wazi kabisa!
UTAWALA DHALIMU UMEFITINIKAš
Tujiandae kukaza mkanda, tufike pahala tupige magoti tutubu.Kamati za Mambo ya Nje na Maendeleo katika Bunge la Ulaya zimepiga kura kuitaka Kamisheni ya Umoja wa Ulaya kuondoa mpango wa utekelezaji wa kila mwaka (Development Assistance) kwa Tanzania.
Matokeo ya upigaji kura: 81 wameunga mkono 1 dhidi ya 4 ambao hawakupiga kura
Aisee mambo yanazidi kuwa magumuKamati za Mambo ya Nje na Maendeleo katika Bunge la Ulaya zimepiga kura kuitaka Kamisheni ya Umoja wa Ulaya kuondoa mpango wa utekelezaji wa kila mwaka (Development Assistance) kwa Tanzania.
Matokeo ya upigaji kura: 81 wameunga mkono 1 dhidi ya 4 ambao hawakupiga kura