Uchaguzi 2020 Walidhani wameiua CHADEMA, sasa kampeni ya "Kitanda kwa Kitanda" ya nini?

Sawa mkuu.
Upo sahihi Acacia bado wapo kwenye ramani ya dhahabu bongo.
Pia Acacia hawaku wa- underestimate watanzania.

..kulikuwa na propaganda nyingi sana wakati wa mgogoro ule.

..kwa mfano, madai ya usd 191 billion usd ambapo baadae tukakubali tulipwe usd 300 million.

..ukidai 191 billion, halafu ukakubali ulipwe 300 million, wewe huna tofauti na mtu anayedai usd 636, halafu ukakubali kulipwa usd 1.

..au barrick wakiamua kuilipa serikali usd 300 million kila mwaka itawachukua miaka 636 kumaliza deni la usd 191 billion. hapo tuna-assume hakutakuwa na riba.

..Yote hiyo inadhihirisha kwamba kuna walakini mahali fulani.
 
Mimi nimekubali mapema kabisa upo sahihi mkuu au haupendi kuona nikikubali hoja zako?
 
CCM wanazima sauti lissu akihutubia
Mwenyekiti wa ccm anawaogopa wapinzani ameamuru vyombo vya habari visitangaze habari zao.
 
Wamewaumiza Watz yaani makundi yote so sijui watawashawishi nini ili wawaamini tena, badala ya kupambana na shida za watz walikuwa bize kupambana na mbowe wakidhani 5 yrs ni miaka 50 hamadi uchaguzi huu hapa hawana cha kujisifia zaidi ya ndege, sgr na bwawa watu wanataka shibe na sio kusomeshwa namba.
 
Haki ya Mungu sipendi siasa za bongo ila lissu ananifikirisha sana, he is something else.
 
Umewasikia lakini

Wanasema kama wakishinda mkrugenzi afanye tofauti basi ama zake ama zao. This time anasema wazi wazi hawatokubali dhulma ya aina yoyote.

Wakurugenzi huu mzikia wenu. Majamaa ndio hao
Hilo halipo la wakuregenzi kuchezea huu uchaguzi ni mgumu kuliko pia unafatiliwa kwa karibu sana na jumuiya za kimatifa pia bingwa wao wa wizi na fitina Mungu kampenda zaidi angalau yey aliweza tumia nguvu na akili kusolve magumu tofauti na hawa wao utumia nguvu zaidi kuliko akili so chochote chawezatokea, hata upinzani wasiposhinda watakuwa na wabunge wengi sana tena upcoming underground.
 
Sawa mkuu naheshimu mawazo yako.
Mkuu tuko mil 60 + hatuwezi kufikiri na kutenda sawa, demokrasia ndo italeta amani, vinginevyo nchi italipuka, hiyo mifano ya sera za China na Rusia not applicable here
 
Mkuu JokaKuu amesema hapo juu,

".......au barrick wakiamua kuilipa serikali usd 300 million kila mwaka itawachukua miaka 636 kumaliza deni la usd 191 billion. hapo tuna-assume hakutakuwa na riba."
Halafu tunasema nchi hii INA werevu? Hii ni aibu ya karne bora hata enzi za mzee Mangungo.
 
Hizo "fitina za kisiasa" ni uhuni tu. Ni ukiukwaji wa sheria na katiba unaofanywa na vyama vilivyoshindwa kufanya siasa katika uwazi na ushindani unaopaswa.
 
Kumbe Magufuli anajua siasa? usichanganye mambo hapa!
 
Labda kama una matatizo ya ubongo , hivi unawezaje kupima dharau ya watu waliowekewa bunduki kichwani kwa miaka minne mfululizo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…