Awuot
JF-Expert Member
- Nov 10, 2018
- 1,172
- 1,402
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] itakua nyasi kwa nyasiKitanda kwa kitanda wakati watanzania wengi wanalala kwenye nyasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] itakua nyasi kwa nyasiKitanda kwa kitanda wakati watanzania wengi wanalala kwenye nyasi
Hapo Sasa, hilo nalo neno.Kitanda kwa kitanda wakati watanzania wengi wanalala kwenye nyasi
Sawa mkuu.
Upo sahihi Acacia bado wapo kwenye ramani ya dhahabu bongo.
Pia Acacia hawaku wa- underestimate watanzania.
Mimi nimekubali mapema kabisa upo sahihi mkuu au haupendi kuona nikikubali hoja zako?..kulikuwa na propaganda nyingi sana wakati wa mgogoro ule.
..kwa mfano, madai ya usd 191 billion usd ambapo baadae tukakubali tulipwe usd 300 million.
..ukidai 191 billion, halafu ukakubali ulipwe 300 million, wewe huna tofauti na mtu anayedai usd 636, halafu ukakubali kulipwa usd 1.
..au barrick wakiamua kuilipa serikali usd 300 million kila mwaka itawachukua miaka 636 kumaliza deni la usd 191 billion. hapo tuna-assume hakutakuwa na riba.
..Yote hiyo inadhihirisha kwamba kuna walakini mahali fulani.
Mimi nimekubali mapema kabisa upo sahihi mkuu au haupendi kuona nikikubali hoja zako?
CCM wanazima sauti lissu akihutubiaAlways never underestimate your enemy(opponent).
Kuna dogo alimpiga mtama baunsa wa msanii flani maarufu kule Tandale, mbavu alilamba mchanga sababu ya dharau zake kwa dogo hakujiandaa.
Acacia imepotea kwenye ramani ya dhahabu za bongo sababu waliwadharau watanzania na uwezo wao kukusanya taarifa za kiintelijensia.
CHADEMA inapata taabu kwenye uchaguzi huu sababu walimdharau Magufuli hajui siasa, walimdharau Polepole na wenzie hawakudhania wanaweza siasa na fitina za kisiasa kiwango hiki.
Uwezekano wa cdm kukosa viti vyote vya ubunge ni mkubwa sana.
Wamewaumiza Watz yaani makundi yote so sijui watawashawishi nini ili wawaamini tena, badala ya kupambana na shida za watz walikuwa bize kupambana na mbowe wakidhani 5 yrs ni miaka 50 hamadi uchaguzi huu hapa hawana cha kujisifia zaidi ya ndege, sgr na bwawa watu wanataka shibe na sio kusomeshwa namba.Kuna neno Mbowe alipenda kulitumia kila apatapo nafasi ya kuongea na lilipuuzwa nalo ni " sisi wapinzani hasa chadema tumeimarika kuliko wakati wowote ule" hili neno halikuaminiwa hata na baadhi ya wanaChadema wenyewe na kupelekea baadhi ya viongozi kuunga juhudi.
Sasa ndiyo watu wanaanza kuuona uimara wa upinzani, na matokeo yake ndiyo hizo kampeni za kitanda kwa kitanda. Sasa hivi zile kauli za ushindi wa 100% hazipo tena.
Haki ya Mungu sipendi siasa za bongo ila lissu ananifikirisha sana, he is something else.wamewaumiza watz yaani makundi yote so sijui watawashawishi nini ili wawaamini tena,badala ya kupambana na shida za watz walikuwa bize kupambana na mbowe wakidhani 5 yrs ni miaka 50 hamadi uchaguzi huu hapa hawana cha kujisifia zaidi ya ndege,sgr na bwawa watu wanataka shibe na sio kusomeshwa namba.
Hilo halipo la wakuregenzi kuchezea huu uchaguzi ni mgumu kuliko pia unafatiliwa kwa karibu sana na jumuiya za kimatifa pia bingwa wao wa wizi na fitina Mungu kampenda zaidi angalau yey aliweza tumia nguvu na akili kusolve magumu tofauti na hawa wao utumia nguvu zaidi kuliko akili so chochote chawezatokea, hata upinzani wasiposhinda watakuwa na wabunge wengi sana tena upcoming underground.Umewasikia lakini
Wanasema kama wakishinda mkrugenzi afanye tofauti basi ama zake ama zao. This time anasema wazi wazi hawatokubali dhulma ya aina yoyote.
Wakurugenzi huu mzikia wenu. Majamaa ndio hao
Sawa mkuu naheshimu mawazo yako.Ccm wanazima sauti lissu akihutubia
Mwenyekiti wa ccm anawaogopa wapinzani ameamuru vyombo vya habari visitangaze habari zao
Mkuu tuko mil 60 + hatuwezi kufikiri na kutenda sawa, demokrasia ndo italeta amani, vinginevyo nchi italipuka, hiyo mifano ya sera za China na Rusia not applicable hereSawa mkuu naheshimu mawazo yako.
Hizo "fitina za kisiasa" ni uhuni tu. Ni ukiukwaji wa sheria na katiba unaofanywa na vyama vilivyoshindwa kufanya siasa katika uwazi na ushindani unaopaswa.Always never underestimate your enemy(opponent).
Kuna dogo alimpiga mtama baunsa wa msanii flani maarufu kule Tandale, mbavu alilamba mchanga sababu ya dharau zake kwa dogo hakujiandaa.
Acacia imepotea kwenye ramani ya dhahabu za bongo sababu waliwadharau watanzania na uwezo wao kukusanya taarifa za kiintelijensia.
CHADEMA inapata taabu kwenye uchaguzi huu sababu walimdharau Magufuli hajui siasa, walimdharau Polepole na wenzie hawakudhania wanaweza siasa na fitina za kisiasa kiwango hiki.
Kumbe Magufuli anajua siasa? usichanganye mambo hapa!Always never underestimate your enemy(opponent).
Kuna dogo alimpiga mtama baunsa wa msanii flani maarufu kule Tandale, mbavu alilamba mchanga sababu ya dharau zake kwa dogo hakujiandaa.
Acacia imepotea kwenye ramani ya dhahabu za bongo sababu waliwadharau watanzania na uwezo wao kukusanya taarifa za kiintelijensia.
CHADEMA inapata taabu kwenye uchaguzi huu sababu walimdharau Magufuli hajui siasa, walimdharau Polepole na wenzie hawakudhania wanaweza siasa na fitina za kisiasa kiwango hiki.
Labda kama una matatizo ya ubongo , hivi unawezaje kupima dharau ya watu waliowekewa bunduki kichwani kwa miaka minne mfululizo?Always never underestimate your enemy(opponent).