Uchaguzi 2020 Walidhani wameiua CHADEMA, sasa kampeni ya "Kitanda kwa Kitanda" ya nini?

Umewasikia lakini

Wanasema kama wakishinda mkrugenzi afanye tofauti basi ama zake ama zao. This time anasema wazi wazi hawatokubali dhulma ya aina yoyote.

Wakurugenzi huu mzikia wenu. Majamaa ndio hao
Maneno kama hayo ni ya kawaida sana. Huko mitaani kwenye sanduku la kura ndio msema kweli. Unajua mgombea wa cdm ni maarufu sana kwa baadhi ya watu walioelimika lakini huko mtaani hata hizi kukulukakala zake hawajui kama zipo.

Nguvu ya Magufuli huko mitaani sio jambo la kuchukulia kitoto. Mzee ana nguvu za hatari sana.
Huu uchaguzi ccm watashinda mapema sana.
 
Always never underestimate your enemy(opponent). Kuna dogo alimpiga mtama baunsa wa msanii flani maarufu kule Tandale, mbavu alilamba mchanga sababu ya dharau zake kwa dogo hakujiandaa.

Hii yaweza kuwa onyo kwa yeyote kati ya pande hizo mbili.
 
kwa kupaniki huku kitanda cha mwenyekiti wa NEC watakihamishia lumumba
 
Chadema haiwezi kufa ata akiondoka mh Mbowe; sababu Zito hawezi kudumu ndani ya Chadema...Maneno haya yaliandikwa na Bruce Lee wa jamiiforum 2001
 
Rais wetu na Mwenyekiti wetu mpendwa usiwe na wasiwasi huku mtaani upinzani hakuna, tena huna haja ya kufanya kampeni wewe pumzika tu watanzania kazi yako wanaikubali na kura watakupigia.
 
Wekeni fair ground
 
yeah, man. Lissu is our MAN.
let's enjoy this moment while we can.
let's enjoy the ride!
 
AWAKUJUA LISU ATARUDI HAI,
 
Hapana Mkuu watu walikua wanaunga mkono juhudi kwa makumi,Tena VIONGOZi wenye majina .
Kafulila, Mtatiro, Arfi, Nasari, Selasini, Komu, Gekul, Lijuakali, Silinde, Lowassa, Sumaye, n.k

Kwenye udiwani huko ndo usiseme.
Hawa awatamsahau jiwe milele wanamlaani sana amewaharibia future yao,tunapowaambiwa jiwe ni msanii huwa hawaelewi.Waendelee kuunga juhudi haina ukomo kuunga
 
lisu anatafuta mke wa pili wahi nafasi ukaolewe nae,
 
CHADEMA inapata taabu kwenye uchaguzi huu sababu walimdharau Magufuli hajui siasa, walimdharau Polepole na wenzie hawakudhania wanaweza siasa na fitina za kisiasa kiwango hiki.
Siasa za mabavu za kutumia vyombo vya dola kuhujumu upinzani hizo ndio unazosema Chadema walidharau?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…