Uchaguzi 2020 Walidhani wameiua CHADEMA, sasa kampeni ya "Kitanda kwa Kitanda" ya nini?



Acha nkuongezee neno lingine kesho ni nzuri kuliko jana
 


Na kikubwa zaidi ya kumpenda zaidi wale ma master Kinana, Nape, January wanapata wapi nguvu za kupanda na kumaster huu uchaguzi? wote wako pembeni wanamwangalia kwa jicho ngoja tuone utafanya nini?
 


Ningekubaliana na ww lakini unajua kitu kinaitwa CHADEMA ni msingi?
 
 
Tatizo la ufipa bado mnanukia maziwa ya mama zetu! Hivi hamkumbuki juzi tu enzi za Nyerere na Mwinyi tena chama kimoja uchaguzi ukiwa ndio na hapana, kampeni zilipigwa! Tena zikiongozwa na baba wa taifa mwenyewe mwl Nyerere. Hii ya kitanda kwa kitanda ni kuhakikisha mnakosa uraisi, ubunge hadi madiwani! Walahi mkipata asilimia 10 mkatambikie.
 
lee van cliff,

Hotuba yake leo imeonesha jinsi alivyokuwa mnyonge kana kwamba ndiyo kwanza anagombea urais. Yaani unaweza kudhani JPM ni mwenyekiti wa TADEA. Hana confidence kabisa.
jifariji mtandaon km wasanii wa bongo waliotia nia,wajumbe ambao wapo kitandani, wametulia tuli na vichinjio vyao, jiandaeni kisaikolojia ,mwaka huu hata mbunge 1 hampati,
 
Kwa asili ya mwanadamu, hapendi kunyanyaswa.

Rais Magufuli utawala wake, kwa asili yake umewatesa na kuwanyanyasa sana wananchi walio wengi. Watu wamenyanyaswa na kuonewa kuanzia ngazi ya Taifa mpaka kwenye Serikali za mitaa. Kuanzia yeye mwenyewe, mawaziri wake, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya na watendaji wa vijiji na kata, wengi wao wamekuwa katili na wasio na utu.

Wamekuwa wakitafuta umaarufu na sifa kwa kuwaumiza watu wasio na kosa.

Rais mwenyewe aliwahi kutamka , 'katika utawala wangu, tajiri anaweza kufanywa chochote wakati wowote'. Na kweli aliisimamia hiyo kauli yake. Wapo matajiri walibambikiwa kesi za uhujumu uchumi, wapo waliotekwa, wapo waliowekwa Segerea ili tu waridhie hela zao walizochuma kwa jasho lao, kuporwa. Huo ndio ulikuwa utawala wa Rais Magufuli. Ulikuwa ni utawala wa mkono wa chuma. Utawala huu kwa miaka 5 umefanya kampeni ya kuchukiwa.

Na asifanye mchezo, atakuwa na wakati mgumu sana. Uchaguzi huu utakuwa mgumu kwa CCM kuliko uchaguzi wowote uliopita. CCM itakuwa na kazi ngumu sana kuitetea Serikali ambayo kwa miaka 5 imefanya kazi kubwa ya kutesa wananchi.

Huwezi kuua upinzani kwa kutesa na kutumia nguvu. Ukifanya tu hivyo, unaujenga upinzani. Rais Maguguli ametengeneza upinzani wenye nguvu nje na ndani ya chama chake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna alichofanya 5 years
 
Chama cha siasa ni kuongoza serikali. CCM inalijua hilo. Hivyo, CCM kama chama kikongwe cha siasa barani Afrika kinajua maana ya kampeni na maana ya uchaguzi. Hakiwezi kuleta mzaha mzaha na ndio maana kipo madarakani na kitaendelea kuwepo madarakani jana, leo na kesho.
 
Hao wasiojulikana kama hawataendelea kujulikana bora CCM ipigwe chini. La sivyo jua unauweka usalama wako rehani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…