Ulimbo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 3,768
- 4,038
Tangia mwanzoni kulikuwepo na sintofahamu kwa wagombea wa upinzani kutotendewa haki. Jambo hili lilijitokeza pia kwenye kura za maoni ndani ya ccm ambapo uongozi wa juu ulimweka mtu waliomtaka na si yule aliyependekezwa na wananchi/wapiga kura wake.
Kitendo hicho kilifanya zoezi la kujiandikisha kusua sua hadi siku zikaongezwa.
Wakati wa kurudisha fomu mchezo ukaendelea kwa kutopokelewa fomu za wagombea wa vyama pinzani. Taarifa zilitolewa kwa uongozi usika - TAMSEMI lakini majibu yakawa ovyo.
Wapinzani leo wamejitoa, CCM na TAMISEMI wanaweweseka na kulazimisha wagombea ambao walikuwa hawahitajiki, sasa wanalazimishwa kushiriki kwenye chaguzi.
Hivi kuna kifungu chochote cha kuwatia hatiani wagombe wote waliojitoa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa?