Elections 2010 walikuwa 5 tu, sasa wapo 16 tayari, je itakuwaje?

Elections 2010 walikuwa 5 tu, sasa wapo 16 tayari, je itakuwaje?

Kipenzi Chao

Member
Joined
Oct 12, 2010
Posts
99
Reaction score
4
Kama wabunge wa CHADEMA walikuwa 5 tu, na sasa wameshafika 16! Hiyo picha pale bingeni itakuwaje?
 
simple math if 1 chadema mp = 30 ccm mp's
16 chadema mp's = mp's ?
16 x 30 = 480
ans = 480 chadema mp's :loco:
 
tayari wapo 17
Up to now CHADEMA has won the following (17) constituencies confirmed by NEC: Arusha town, Iringa town, Moshi town, Musoma town, Nyamagana, Ilemela, west Maswa, east Maswa, Ukerewe, Kigoma Kaskazini, Hai, Mbeya mjini, Biharamulo, Meatu, Mbulu, Ubungo, Rombo.
 
ongeza Jimbo la Singida Mashariki kwa mujibu wa tovuti ya www.wavuti.com ikimkariri msimamizi wa Jimbo hilo kuwa Lissu Tindu-CHADEMA kashinda
 
Siyo hivyo sixteen kumbuka kuna ndugu zetu wengine wa cuf wapo 11,safari hii mjengoni halali mtu labda nao walewe sifa wakatuzingue,hapa zitto hapa ahmad rashid si unajua mziki wao kaongezeka mnyika,ccm watapumulia mipira
 
Bunge litawaka moto tena sana. litakuwa bunge la kihistoria tangu kupata uhuru wetu wetu.
 
Nani ana habari za MATOKEO ya mpiganaji Kafurila-NCCR Kigoma?
 
Back
Top Bottom