Uchaguzi 2020 Walikuwa hawaamini kama upepo umebadilika

Uchaguzi 2020 Walikuwa hawaamini kama upepo umebadilika

Taharuki kubwa imeingia ndani ya CCM.
Maji yameanza kuzidi unga, ugali waupikwi tena.

Leo asubuhi naona Kassim Majaliwa katinga kanisani (kituo cha redio safina, Arusha) kuomba radhi baada ya jana serikali kuzuia Kongamano la maombi lililoandaliwa na kituo cha redio Safina (Mbauda, Arusha) ili raia wasombwe kwenda kwenye mkutano wa CCM. Hasira zikawajaa waumini wa kikristo kupita kiasi.
Miti yote inateleza sasa naona.
 
Ila mwaka huu tumebanwa sana tofauti na mwaka 2015. Na hivi Magu amekataa uvccm kumpigia kampeni, akina nape, kibajaji ,makamba walio zoea kuzunguka nchi kila mwaka wa kampeni wamepigwa stop, mzee baba anazunguka na sekretariat tu. Akina Nape walijua wataitwa mzee baba kakomaa anachanja mbuga tu, hataki zile habari zenu sijui tulikupigania mzee
Nape , makamba , na mchemba wamo kikundi cha computer system cha kutengeza goli la mkono hilo linajulikana sahivi wanaseti mitambo ndio maana wao wamepitishwa bila kupinga wapate muda wa kutengeneza wizi

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Upepo umegeuka mitandaoni au kwenye kampeni live.
Kuna tofauti kubwa kati ya mtu aliyeenda kwa nauli yake kwenye mkutano kusikiliza sera na yule aliyelazimishwa na kupakiwa kwenye trecta na malori kisha anapewa na posho na kuwekewa shoo za fiestra au unabisha nikuwekee clip ya mama Maria Nyerere?
 
Duh, binadamu kiumbe mbaya Sana. Ndo maana mzungu aligundua siraha
 
Huwezi kukwepa ngumi ya uso kwa kufumba macho. Fungueni macho muone uhalisia wa mambo. Upepo umebadilika na hakuna njia yoyote inayoweza kubadili uelekeo wa upepo
John anatia huruma Sana. Hakujipanga kupiga kampeni. Yeye alikomaa kununua wabunge wa upinzani akajua kishamaliza kazi.
 
Aise nyie watu mna vituko Sana, yaani hao watu wa Mbeya ndio mnaona watafanya Magufuli ashindwe. Hao watu aliopata Mwanza subiri uone Majibu yenu leo, hao watu aliopata Mbeya Magufuli anapata zaidi. DSM wameshamkata, Dodoma juzi alihutubia miti, mtaugua pressure bure!
Achana nao hao wanajipa moyo tu.
 
Walikuwa hawaamini until Lissu kaenda Dodoma ndio vichwa vimewakaa sawa. Kila kona anakopita nyomi kama lote, tena lile la hiari hamna anayebebwa wala kulazimishwa kwenda kwenye mikutano.

Nimesikia kwenye baadhi ya maeneo mnawalazimisha watumishi kwenda kwenye mikutano yenu. Naomba niwaambie tu hiyo ni kama kujitekenya na kuchema mwenyewe.

Huwezi kukwepa ngumi ya uso kwa kufumba macho. Fungueni macho muone uhalisia wa mambo. Upepo umebadilika na hakuna njia yoyote inayoweza kubadili uelekeo wa upepo.
Ile mikutano ya kawe, mbagala na segerea iliwaadaa, pakubwa sasa nadhani itabidi wawapigie magoti kina kinana wawasaidie
 
Mbona na Chadema wamekusanya wanamziki
 
Umati wa watu anaopata Lissu ni ushahidi tosha Magufuri na CCM yake watu wamewachoka tafadhali , CCM ondokeni na achieni nchi kwa amani , Mambo ya majeshi ya akiba vitisho vya Siro havitasaidia .
IMG_20200906_115809.jpg
IMG_20200906_115922.jpg
IMG_20200906_115916.jpg
 
Majizi na Mafisadi ya CCM yapo yanahaha na hayajui cha kufanya mfano Bashiru na Polepole wanatia huruma
Hawa wawili ni kati ya wanaccm wengi wanaotaka sn ccm ife.... Ila ndo hivo hawawezi kusema hadharani
 
Mambo ya aibu sana. Jiwe alifikiri akiwashawishi kwa vyeo na fedha Wabunge na Madiwani toka Upinzani basi watakuwa wamewapata na Wafuasi wao.

Madaraka na rasilimali za nchi alizitumia kupanda mbegu ya chuki na ubaguzi sasa acha avune alichopanda.
Alitusomesha namba Sasa zamu yake kuisoma October
 
Mitaani kura kwa cdm,tena wameamua kimya kimya,,huu ni ukweli mtupu... Watumishi ....waalimu,afya,usalama.... Kura kwa lissu.. Nimeshuhudia mwenyewe wanavyohimizana kimkakati.. Wanafanya kampeni mtu kwa mtu.. Kama hawakufahamu wanakuacha,,hawapigi kelele kama enzi 2015...
 
Mitaani kura kwa cdm,tena wameamua kimya kimya,,huu ni ukweli mtupu... Watumishi ....waalimu,afya,usalama.... Kura kwa lissu.. Nimeshuhudia mwenyewe wanavyohimizana kimkakati.. Wanafanya kampeni mtu kwa mtu.. Kama hawakufahamu wanakuacha,,hawapigi kelele kama enzi 2015...
Hahahaha
Mtakufa kwa vihoro mwaka huu.

Mnapambana kuwaridhisha viongozi wakuu waone wanaungwa mkono...

Hamna sera wala hoja
 
Nape , makamba , na mchemba wamo kikundi cha computer system cha kutengeza goli la mkono hilo linajulikana sahivi wanaseti mitambo ndio maana wao wamepitishwa bila kupinga wapate muda wa kutengeneza wizi

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Magu hawezi kuwapa kazi hao vibaka, anawafahamu kabisa mwaka 2015 waliiba mabilioni walipojipa kazi ya kuzunguka na mgombea . Magu ana vijana wake anawaaamini sio hao wanaosemaga mwishoni tulikupigania hutujali
 
Back
Top Bottom