Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 5,566
- 5,477
Kote,koteUpepo umegeuka mitandaoni au kwenye kampeni live.
Miti yote inateleza sasa naona.Taharuki kubwa imeingia ndani ya CCM.
Maji yameanza kuzidi unga, ugali waupikwi tena.
Leo asubuhi naona Kassim Majaliwa katinga kanisani (kituo cha redio safina, Arusha) kuomba radhi baada ya jana serikali kuzuia Kongamano la maombi lililoandaliwa na kituo cha redio Safina (Mbauda, Arusha) ili raia wasombwe kwenda kwenye mkutano wa CCM. Hasira zikawajaa waumini wa kikristo kupita kiasi.
Nape , makamba , na mchemba wamo kikundi cha computer system cha kutengeza goli la mkono hilo linajulikana sahivi wanaseti mitambo ndio maana wao wamepitishwa bila kupinga wapate muda wa kutengeneza wiziIla mwaka huu tumebanwa sana tofauti na mwaka 2015. Na hivi Magu amekataa uvccm kumpigia kampeni, akina nape, kibajaji ,makamba walio zoea kuzunguka nchi kila mwaka wa kampeni wamepigwa stop, mzee baba anazunguka na sekretariat tu. Akina Nape walijua wataitwa mzee baba kakomaa anachanja mbuga tu, hataki zile habari zenu sijui tulikupigania mzee
Kuna tofauti kubwa kati ya mtu aliyeenda kwa nauli yake kwenye mkutano kusikiliza sera na yule aliyelazimishwa na kupakiwa kwenye trecta na malori kisha anapewa na posho na kuwekewa shoo za fiestra au unabisha nikuwekee clip ya mama Maria Nyerere?Upepo umegeuka mitandaoni au kwenye kampeni live.
hebu jaribuni kwenda bila wasanii, bila kulazimisha watumishi kuhudhuria na bila kusomba watu kwa malori, halafu tuone kama mtapata hata watu kumi.Upepo umegeuka mitandaoni au kwenye kampeni live.
John anatia huruma Sana. Hakujipanga kupiga kampeni. Yeye alikomaa kununua wabunge wa upinzani akajua kishamaliza kazi.Huwezi kukwepa ngumi ya uso kwa kufumba macho. Fungueni macho muone uhalisia wa mambo. Upepo umebadilika na hakuna njia yoyote inayoweza kubadili uelekeo wa upepo
Achana nao hao wanajipa moyo tu.Aise nyie watu mna vituko Sana, yaani hao watu wa Mbeya ndio mnaona watafanya Magufuli ashindwe. Hao watu aliopata Mwanza subiri uone Majibu yenu leo, hao watu aliopata Mbeya Magufuli anapata zaidi. DSM wameshamkata, Dodoma juzi alihutubia miti, mtaugua pressure bure!
Ile mikutano ya kawe, mbagala na segerea iliwaadaa, pakubwa sasa nadhani itabidi wawapigie magoti kina kinana wawasaidieWalikuwa hawaamini until Lissu kaenda Dodoma ndio vichwa vimewakaa sawa. Kila kona anakopita nyomi kama lote, tena lile la hiari hamna anayebebwa wala kulazimishwa kwenda kwenye mikutano.
Nimesikia kwenye baadhi ya maeneo mnawalazimisha watumishi kwenda kwenye mikutano yenu. Naomba niwaambie tu hiyo ni kama kujitekenya na kuchema mwenyewe.
Huwezi kukwepa ngumi ya uso kwa kufumba macho. Fungueni macho muone uhalisia wa mambo. Upepo umebadilika na hakuna njia yoyote inayoweza kubadili uelekeo wa upepo.
Kwahiyo ww unaepelekea watu wasanii pamoja na kuwatoa wato kwa malori na mabasi vijijini wende mjini mikutanoni bure na wale wanao to a pesa zao mifukonj kwenda kumuangalia lisu nani boraAchana nao hao wanajipa moyo tu.
na nyie si mfanye hivo kwan mmekatazwa?Kwahiyo ww unaepelekea watu wasanii pamoja na kuwatoa wato kwa malori na mabasi vijijini wende mjini mikutanoni bure na wale wanao to a pesa zao mifukonj kwenda kumuangalia lisu nani bora
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Hawa wawili ni kati ya wanaccm wengi wanaotaka sn ccm ife.... Ila ndo hivo hawawezi kusema hadharaniMajizi na Mafisadi ya CCM yapo yanahaha na hayajui cha kufanya mfano Bashiru na Polepole wanatia huruma
Alitusomesha namba Sasa zamu yake kuisoma OctoberMambo ya aibu sana. Jiwe alifikiri akiwashawishi kwa vyeo na fedha Wabunge na Madiwani toka Upinzani basi watakuwa wamewapata na Wafuasi wao.
Madaraka na rasilimali za nchi alizitumia kupanda mbegu ya chuki na ubaguzi sasa acha avune alichopanda.
Wasanii wametishwa wanaogopa.na nyie si mfanye hivo kwan mmekatazwa?
HahahahaMitaani kura kwa cdm,tena wameamua kimya kimya,,huu ni ukweli mtupu... Watumishi ....waalimu,afya,usalama.... Kura kwa lissu.. Nimeshuhudia mwenyewe wanavyohimizana kimkakati.. Wanafanya kampeni mtu kwa mtu.. Kama hawakufahamu wanakuacha,,hawapigi kelele kama enzi 2015...
Magu hawezi kuwapa kazi hao vibaka, anawafahamu kabisa mwaka 2015 waliiba mabilioni walipojipa kazi ya kuzunguka na mgombea . Magu ana vijana wake anawaaamini sio hao wanaosemaga mwishoni tulikupigania hutujaliNape , makamba , na mchemba wamo kikundi cha computer system cha kutengeza goli la mkono hilo linajulikana sahivi wanaseti mitambo ndio maana wao wamepitishwa bila kupinga wapate muda wa kutengeneza wizi
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app