WALIKUWA WANAKUITA NICK NAME GANI KIPINDI UPO SHULE?

T.I eti nimefanana nae watu bwana.
 
Mr. Corruption, kiranja wa Debate , Shule moja ya Seminari Maarufu. Ukiongea kiswahili nikakumata ni either ulete pesa kidogo au nikukatie ardhi ya kupalilia Orchard kilomita za mraba za kutosha.
Nilitegemea Mr.korupsheni ukomenti Kiingilishi kabla nawewe sijakupa ban😁
 
Robocopy Tozi Clinton forward janjajanja
 
General Mwana mapinduzi....nilipindua viongoz weng shule
 
Waliniita mwarabu wa dubai
Mimi ni black, enzi hizo mpoki wa orijino comed anajiita hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…