stable-negro
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 509
- 347
O level ilikuwa Mugabe sababu ya misimamo yangu mikali mpaka kwa walimu.
Advance wakanibatiza jina la Mamba kwa sababu nilikuwa myonge nikiwa kwenye himaya za watu ila siku ukiingia kwenye 18 zangu utanitambua vizuri maana nilikuwa naatack kama mamba vile.
Chuo nilipewa jina la Derulo; I did put a historical dance wimbo wa (whatcha say) kwenye welcome first year bash. Nadhani hii ndo performance ya juu kabsa kwenye kucheza niliyowahi kuiachieve maana watu wote waliacha kudance wakabaki kuniangalia mimi tu. Baada ya hapo kila mtu aliyehudhuria alikuwa akiniita Derulo chuoni.