KITWANGAUTAM
Member
- Jan 19, 2013
- 80
- 18
- Thread starter
-
- #21
very simple,assume huko ndani ya gari lenye vioo vyote vyeusi yaani hakuna kuona vitu vya nje,kisha hiyo barabara ni smooth surface hakuna hata colgation,hivi gari itakapokuwa inatembea na wewe uliyendani ya hiyo gari utahisi unatembea? ukishafahamu hapo rotation & revolution kwisha habari yake,mkuu kama wewe ni mwalimu kweli hiyo topic ya solar system fundisha baada ya term ya pili la sivyo watoto watakuchukia watasema hujui kufundisha,concept zake zinawatinga sana watoto wa form one,kazi njema mkuu!
Walim 2tafika? Unatakiwa ushughulishe akili na kufikiria fasta la cvyo utaumbuka huko dasasan. Na mim nna swali nikuulize?
He! Dadafua\dadavua...turudi jukwaa la lugha
we are moving with it,thus why we don't feel the motion.
kwanza unajua maana ya corriolis effect?? vilivyoko duniani havizunguki,bali dunia ndio inazunguka...Hii ni kwasababu vyote vilivyomo duniani navyo vinazunguka.kinachoonekanahapo ni upepo kwani unaenda kukingana na uelekeo wa dunia(curiolis )
toa swali lako mbona unaogopa???Walim 2tafika? Unatakiwa ushughulishe akili na kufikiria fasta la cvyo utaumbuka huko dasasan. Na mim nna swali nikuulize?