NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Ndiyo.Arizeti?
Hii ni mental case hiiMsije kusema kuwa hatujawaambia, Ayubu Fc walishachungulia na kuona kuwa hii mechi ni ngumu.
Hotelini walipofikia hapakaliki na inasemekana wamewatafuta wachezaji wao walioichezea Ayub Fc na kuwauza hapo Arizeti FC lakini hawapatikani kwenye simu zao.
Kwanza niwapongeze uongozi wa Arizeti Fc kwa kufuatilia kila hatua za wachezaji ili wasije kuuza mechi kwa Ayubu FC.
viongozi wa Arizet FC hakikisheni uwanja hauchimbwi chimbwi na Ayub FC wekeni misiamamo Kama uwanja wa Ramba Ramba Fc walivyosema usichimbwe kwenye game na wale wanaotoka huko Zambia.
KILA LA HERI ARIZETI FC.
Team lako haliwezi kumfunga unayetaka afungwe na alizeti ,unapaswa kumfunga wewe usiwape wengine kazi ngumu.Msije kusema kuwa hatujawaambia, Ayubu Fc walishachungulia na kuona kuwa hii mechi ni ngumu.
Hotelini walipofikia hapakaliki na inasemekana wamewatafuta wachezaji wao walioichezea Ayub Fc na kuwauza hapo Arizeti FC lakini hawapatikani kwenye simu zao.
Kwanza niwapongeze uongozi wa Arizeti Fc kwa kufuatilia kila hatua za wachezaji ili wasije kuuza mechi kwa Ayubu FC.
viongozi wa Arizet FC hakikisheni uwanja hauchimbwi chimbwi na Ayub FC wekeni misiamamo Kama uwanja wa Ramba Ramba Fc walivyosema usichimbwe kwenye game na wale wanaotoka huko Zambia.
KILA LA HERI ARIZETI FC.
sio arizeti ni alizetiMsije kusema kuwa hatujawaambia, Ayubu Fc walishachungulia na kuona kuwa hii mechi ni ngumu.
Hotelini walipofikia hapakaliki na inasemekana wamewatafuta wachezaji wao walioichezea Ayub Fc na kuwauza hapo Arizeti FC lakini hawapatikani kwenye simu zao.
Kwanza niwapongeze uongozi wa Arizeti Fc kwa kufuatilia kila hatua za wachezaji ili wasije kuuza mechi kwa Ayubu FC.
viongozi wa Arizet FC hakikisheni uwanja hauchimbwi chimbwi na Ayub FC wekeni misiamamo Kama uwanja wa Ramba Ramba Fc walivyosema usichimbwe kwenye game na wale wanaotoka huko Zambia.
KILA LA HERI ARIZETI FC.
Ule wameuchimba mno.Katika vitu mbumbumbu fc wana changanganyikiwa basi uwazuie wasi fanye mambo ya ulozi hasa kudhibiti uwanja wanao tarajia kuutumia.
Jamaa wame uharibu sana uwanja wa Mkapa.
Kwasasa ule uwanja umefanyiwa ukarabati mkubwa mpaka sehemu ya kuchezea sasa wahusika wasiruhusu upuuzi wao wa kuloga wafanyie kwenye sehemu ya kuchezea.
UOGA GANIYanga waoga sana,si mna kikosi kipana ninyi.