NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Msije kusema kuwa hatujawaambia, Ayubu Fc walishachungulia na kuona kuwa hii mechi ni ngumu.
Hotelini walipofikia hapakaliki na inasemekana wamewatafuta wachezaji wao walioichezea Ayub Fc na kuwauza hapo Arizeti FC lakini hawapatikani kwenye simu zao.
Kwanza niwapongeze uongozi wa Arizeti Fc kwa kufuatilia kila hatua za wachezaji ili wasije kuuza mechi kwa Ayubu FC.
viongozi wa Arizet FC hakikisheni uwanja hauchimbwi chimbwi na Ayub FC wekeni misiamamo Kama uwanja wa Ramba Ramba Fc walivyosema usichimbwe kwenye game na wale wanaotoka huko Zambia.
KILA LA HERI ARIZETI FC.