Walima Arizeti Fc hakikisheni mnaulinda uwanja kwa hali na Mali Kuna mkakati maalumu umeandaliwa na Ayubu FC kuja kufukia madude Yao.

Nyie mnadhani Kila timu ni wachawi kama nyie, au ndio mnaanza kutafuta cha kusema baada ya mechi ili mseme Simba ameshinda kwa sababu ya kuroga, acheni kutumia vichwa kama kifuniko cha shingo
 
Nyie mnadhani Kila timu ni wachawi kama nyie, au ndio mnaanza kutafuta cha kusema baada ya mechi ili mseme Simba ameshinda kwa sababu ya kuroga, acheni kutumia vichwa kama kifuniko cha shingo
WEWE NA AKILI ZAKO ZOTE UMEONA SIMBA IMETAJWA HAPO
 
Kwani ratiba ya NBC imetoka jana kwani Simba hawakujua watacheza na Lameck FC mpaka waanze mipango ya kuwahujumu jana.That is to say cheap propaganda ever from Utopoloni
 
Hakika ujinga wa uzeeni lazima utakufa nao tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie mlituchania mikeka zetu mnafikiri tulifurahi? ndo mnataka nawenzenu wafungwe
 
Lamba lamba walikomalia huo mchezo.
 
Kwahiyo tumekubaliana wamefungwa kihalali baada ya kuzuia 'HILA' za Simba ama?

Na bado hujasema, na utasema tu.! Shubamit
 
Leta mrejesho, unakimbia Uzi wako.
 
ULIKIMBIA SHULE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…