Walima Arizeti Fc hakikisheni mnaulinda uwanja kwa hali na Mali Kuna mkakati maalumu umeandaliwa na Ayubu FC kuja kufukia madude Yao.

Nyie mnadhani Kila timu ni wachawi kama nyie, au ndio mnaanza kutafuta cha kusema baada ya mechi ili mseme Simba ameshinda kwa sababu ya kuroga, acheni kutumia vichwa kama kifuniko cha shingo
 
WEWE NA AKILI ZAKO ZOTE UMEONA SIMBA IMETAJWA HAPO
 
Msije kusema kuwa hatujawaambia, Ayubu Fc walishachungulia na kuona kuwa hii mechi ni ngumu.

Hotelini walipofikia hapakaliki na inasemekana wamewatafuta wachezaji wao walioichezea Ayub Fc na kuwauza hapo Arizeti FC lakini hawapatikani kwenye simu zao.

Kwanza niwapongeze uongozi wa Arizeti Fc kwa kufuatilia kila hatua za wachezaji ili wasije kuuza mechi kwa Ayubu FC.

viongozi wa Arizet FC hakikisheni uwanja hauchimbwi chimbwi na Ayub FC wekeni misiamamo Kama uwanja wa Ramba Ramba Fc walivyosema usichimbwe kwenye game na wale wanaotoka huko Zambia.

KILA LA HERI ARIZETI FC.k

Kwani ratiba ya NBC imetoka jana kwani Simba hawakujua watacheza na Lameck FC mpaka waanze mipango ya kuwahujumu jana.That is to say cheap propaganda ever from Utopoloni
 
Katika vitu mbumbumbu fc wana changanganyikiwa basi uwazuie wasi fanye mambo ya ulozi hasa kudhibiti uwanja wanao tarajia kuutumia.
Jamaa wame uharibu sana uwanja wa Mkapa.
Kwasasa ule uwanja umefanyiwa ukarabati mkubwa mpaka sehemu ya kuchezea sasa wahusika wasiruhusu upuuzi wao wa kuloga wafanyie kwenye sehemu ya kuchezea.
Hakika ujinga wa uzeeni lazima utakufa nao tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie mlituchania mikeka zetu mnafikiri tulifurahi? ndo mnataka nawenzenu wafungwe
 
Katika vitu mbumbumbu fc wana changanganyikiwa basi uwazuie wasi fanye mambo ya ulozi hasa kudhibiti uwanja wanao tarajia kuutumia.
Jamaa wame uharibu sana uwanja wa Mkapa.
Kwasasa ule uwanja umefanyiwa ukarabati mkubwa mpaka sehemu ya kuchezea sasa wahusika wasiruhusu upuuzi wao wa kuloga wafanyie kwenye sehemu ya kuchezea.
Lamba lamba walikomalia huo mchezo.
 
Kwaiyo mkajua tunasare
IMG_0011.jpg
 
Msije kusema kuwa hatujawaambia, Ayubu Fc walishachungulia na kuona kuwa hii mechi ni ngumu.

Hotelini walipofikia hapakaliki na inasemekana wamewatafuta wachezaji wao walioichezea Ayub Fc na kuwauza hapo Arizeti FC lakini hawapatikani kwenye simu zao.

Kwanza niwapongeze uongozi wa Arizeti Fc kwa kufuatilia kila hatua za wachezaji ili wasije kuuza mechi kwa Ayubu FC.

viongozi wa Arizet FC hakikisheni uwanja hauchimbwi chimbwi na Ayub FC wekeni misiamamo Kama uwanja wa Ramba Ramba Fc walivyosema usichimbwe kwenye game na wale wanaotoka huko Zambia.

KILA LA HERI ARIZETI FC.
Kwahiyo tumekubaliana wamefungwa kihalali baada ya kuzuia 'HILA' za Simba ama?

Na bado hujasema, na utasema tu.! Shubamit
 
Msije kusema kuwa hatujawaambia, Ayubu Fc walishachungulia na kuona kuwa hii mechi ni ngumu.

Hotelini walipofikia hapakaliki na inasemekana wamewatafuta wachezaji wao walioichezea Ayub Fc na kuwauza hapo Arizeti FC lakini hawapatikani kwenye simu zao.

Kwanza niwapongeze uongozi wa Arizeti Fc kwa kufuatilia kila hatua za wachezaji ili wasije kuuza mechi kwa Ayubu FC.

viongozi wa Arizet FC hakikisheni uwanja hauchimbwi chimbwi na Ayub FC wekeni misiamamo Kama uwanja wa Ramba Ramba Fc walivyosema usichimbwe kwenye game na wale wanaotoka huko Zambia.

KILA LA HERI ARIZETI FC.
Leta mrejesho, unakimbia Uzi wako.
 
ULIKIMBIA SHULE
 
Back
Top Bottom