technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Kama mnakumbuka mwanzoni kabisa mwa hili sakata Kuna mtu alikuwa anatoa taarifa kuwa mdude yupo karibu na makazi ya mkuu wa mkoa wa mbeya
Sasa kumbe yeye pamoja wenzake wote inasemekana wamepotezwa ili kupoteza ushahidi wa hii kashifa!!
Dhambi ya kula nyama ya mtu haitamuacha mtu salama police tunawaambia kila siku acheni kutumika na mishahara ya laki 5 hamtaki kuelewa;
Poleni Sana ndugu na familia ya Mdude
Tutaonana badae!!