technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Hii ni hisia zako !?au ndivyo ilikuwa ?Kama mnakumbuka mwanzoni kabisa mwa hili sakata Kuna mtu alikuwa anatoa taarifa kuwa mdude yupo karibu na makazi ya mkuu wa mkoa wa mbeya
Sasa kumbe yeye pamoja wenzake wote inasemekana wamepotezwa ili kupoteza ushahidi wa hii kashifa!!
Dhambi ya kula nyama ya mtu haitamuacha mtu salama police tunawaambia kila siku acheni kutumika na mishahara ya laki 5 hamtaki kuelewa;
Poleni Sana ndugu na familia ya Mdude
Tutaonana badae!!
Mkuu wa mkoa SI Bado yupo!!?huyo anatosha kubeba ilani ya chama chetu ccm October 2025!!Kama mnakumbuka mwanzoni kabisa mwa hili sakata Kuna mtu alikuwa anatoa taarifa kuwa mdude yupo karibu na makazi ya mkuu wa mkoa wa mbeya
Sasa kumbe yeye pamoja wenzake wote inasemekana wamepotezwa ili kupoteza ushahidi wa hii kashifa!!
Dhambi ya kula nyama ya mtu haitamuacha mtu salama police tunawaambia kila siku acheni kutumika na mishahara ya laki 5 hamtaki kuelewa;
Poleni Sana ndugu na familia ya Mdude
Tutaonana badae!!
Kumbe mnawafahamu halafu mnawaita "wasiojilulikana"!Kama mnakumbuka mwanzoni kabisa mwa hili sakata Kuna mtu alikuwa anatoa taarifa kuwa mdude yupo karibu na makazi ya mkuu wa mkoa wa mbeya