Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,590
- 31,133
Nasema na nyinyi walimu ambao kula Wali samaki kwenu ni anasa, mna maisha magumu ya kutupwa jalalani ila mnabaki kuiba kura za wananchi kwenye uchaguzi mkuu
Tubuni kwa Mungu na naomba mwaka huu msijishirikishe kabisa na mambo ya uchaguzi vinginevyo laana itawatafuna. Ndio mana wengi wenu mna madeni yasiolipika na mishahara yenu ya ugali dagaa hayo. Stop kuiba bura nyie walimu mnaotumika na ccm