Huwa mnachekesha kujifanya wanaoiba ni kura ni walimu 😂 mwalimu ni kama walivyo watu wengine kwenye pesa wana tamaa.
Wakiiba kura ingia barabarani kiwashe 😂 Samia asitoke nje tunaenda mpaka Ikulu , wakimuua mtu tunadai haki yake "Justice for FULANI" acheni kujiliza liza ooho CCM , ooho Walimu , walimu wakizingua Madktari ingieni barabarani , Machinga tutaanzia hapo na sisi kudai , yaan mpaka kieleweke
Me naona wote mnaminywa , ni vile tu mmezidiana hali za umasikini , huyu hivi huyu vilee
Kila siku makamanda wanafanya mikakati kuandamana ili tukatae uchaguzi , wizi na ufisadi ila mnajificha chumbani ! Kwenye maandamano hamuonekani !
Tokeni huko vyumbani tukakiwashe 😂 tena mnakua wa kwanza kulalamika eti kina Lissu familia zao ziko nje.
Msitie huruma Gen Z wa kenya wao hawashikani uchawi kinachoangaliwa ni wapi wanataka kitu kitatuliwe ! Hiyo "Rutto must Go" kama utani ila inaweza ikamponza mshikaji.
Kila mtu ana haki ya kudai , kila kundi likichoka lina haki ya kudai ! Marekani watu wanatoka kuandama kwa ajili ya Palestina ili watu wa cease fire huko wanawake na watoto wasiendelee kufa😂😂 na wala hilo jambo haliwahusu wanaweza tu kutulia wakala sausage na juice nzuri tu.
Huku Tanzania Mandazi amekazana walimu, tukubali tuna kaujinga fulani hivi ila kataondoka kadri kizazi kinavyobadilika.