Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 23,114
- 29,434
Hakuna uchaguzi mwaka huu chadema wamesema.Nasema na nyinyi walimu ambao kula Wali samaki kwenu ni anasa, mna maisha magumu ya kutupwa jalalani ila mnabaki kuiba kura za wananchi kwenye uchaguzi mkuu
Tubuni kwa Mungu na naomba mwaka huu msijishirikishe kabisa na mambo ya uchaguzi vinginevyo laana itawatafuna. Ndio mana wengi wenu mna madeni yasiolipika na mishahara yenu ya ugali dagaa hayo. Stop kuiba bura nyie walimu mnaotumika na ccm
Walimu hawa wa VISHIKWAMBI VYA KICHINA??Nasema na nyinyi walimu ambao kula Wali samaki kwenu ni anasa, mna maisha magumu ya kutupwa jalalani ila mnabaki kuiba kura za wananchi kwenye uchaguzi mkuu
Tubuni kwa Mungu na naomba mwaka huu msijishirikishe kabisa na mambo ya uchaguzi vinginevyo laana itawatafuna. Ndio mana wengi wenu mna madeni yasiolipika na mishahara yenu ya ugali dagaa hayo. Stop kuiba bura nyie walimu mnaotumika na ccm
Alikuwa hana bando tu kumbe.Aandika maneno magumu kuhusu walimu .
Lakini yapata masaa mawili nyuma ,habari yatoka kwa bwana mmoja kuwa hatunaye tena bwana huyu katika uso wa dunia .
Basi mimi furaha yanijaa kuona huyu bwana bado anaishi na walitulaghai watu waliosema kesha tangulia mbele za haki
Ndiyo kaka ,umasikini wa kawaida alafu wao wakasema kafariki masikiniAlikuwa hana bando tu kumbe.
Maagizo kutoka Juu...Nasema na nyinyi walimu ambao kula Wali samaki kwenu ni anasa, mna maisha magumu ya kutupwa jalalani ila mnabaki kuiba kura za wananchi kwenye uchaguzi mkuu
Tubuni kwa Mungu na naomba mwaka huu msijishirikishe kabisa na mambo ya uchaguzi vinginevyo laana itawatafuna. Ndio mana wengi wenu mna madeni yasiolipika na mishahara yenu ya ugali dagaa hayo. Stop kuiba bura nyie walimu mnaotumika na ccm
Na mwaka huu ndio mtakoma kabisa. Kura zote CCM!Nasema na nyinyi walimu ambao kula Wali samaki kwenu ni anasa, mna maisha magumu ya kutupwa jalalani ila mnabaki kuiba kura za wananchi kwenye uchaguzi mkuu
Tubuni kwa Mungu na naomba mwaka huu msijishirikishe kabisa na mambo ya uchaguzi vinginevyo laana itawatafuna. Ndio mana wengi wenu mna madeni yasiolipika na mishahara yenu ya ugali dagaa hayo. Stop kuiba bura nyie walimu mnaotumika na ccm
Kumbe wewe schoolmate uliamua kuwa Ticha?Walimu wana pesa mingi bwashee
Hapana mkuu sijawa mwalimu , mimi ni mkulima na mfugaji tu bwashee 😆kumbe ww schoolmate uliamua kuwa Tcha?
Huyu jamaa yupo!Nasema na nyinyi walimu ambao kula Wali samaki kwenu ni anasa, mna maisha magumu ya kutupwa jalalani ila mnabaki kuiba kura za wananchi kwenye uchaguzi mkuu